Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Baada ya prison hamjacheza tenaMetacha alipigwa red card hawezi kucheza leo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya prison hamjacheza tenaMetacha alipigwa red card hawezi kucheza leo..
Hii ndio ya tatu kama sijakosea..Baada ya prison hamjacheza tena
Sawa Jirani. Nimewatakia kila la kheri Jirani.....Jirani hii ngozi unavaa siku hizi hata haikupendezi. Teh teh.
E3eeeehhh amka kijana bado mapema ...kula chuma hichoooooCha mkwezi halafu watu wanachukua ndege hadi terminal 1 usiku.
Wana matatizo gani wasiwepo leo?Nasikia Aucho Diara na Pacome hawatakuwepo Leo anyway ila ushindi lazima
LEO YUPO SURE BOYkocha naona anataka kumdakisha METACHA jamaa simkubaligi bora msheri
leo ndo tutamuona ZAWADI MAUYA yani nisiowapenda leo ndo watacheza
Adhabu ilishaisha..... alikosa dhidi ya JKT na Police(FA)Metacha alipigwa red card hawezi kucheza leo..
Mnajitakia kheri huku mkiwa na mashaka na Metacha 😂Kila la kheri Yanga SC
Mkuu Charles kilian njoo umsome shabiki mwenzio huku 😂Leo kipa akiwe metacha, tumeumia
😁😂🤣🤣Awezi kuanza huyo msheri yupoMnajitakia kheri huku mkiwa na mashaka na Metacha 😂
Una uhakika kuwa Msheri ni bora kuliko Metacha?😁😂🤣🤣Awezi kuanza huyo msheri yupo
Ndio asilimia 100 kwa sababu mie ndio naijua Yanga SC kama wewe unavoijua Simba SCUna uhakika kuwa Msheri ni bora kuliko Metacha?
So Metacha atakuwa mtazamaji tu leo?Ndio asilimia 100 kwa sababu mie ndio naijua Yanga SC kama wewe unavoijua Simba SC
na mnata anadakaLEO YUPO SURE BOY
Sio utani mzeeMkuu Charles kilian njoo umsome shabiki mwenzio huku 😂