FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

Hii inshu ya Pacome,Diara na Aucho na nasikia Musonda pia kutokucheza leo imekaje wadau?
 
Match Day

[emoji471] #NBCPremierLeague
[emoji460]️ Namumgo FC [emoji739] Young Africans SC
[emoji414] 08.03.2024
[emoji909] Majaliwa Stadium, Lindi.
[emoji797] 12:00 Jioni

#Daimambelenyumamwiko#.
May the Lord Grant you a very good Suluhu!!
 
😂😂 nakusalimia ndugu yangu.
Salama tu sijui wewe , furaha humu ni kuona Makolo wakiwa hawana furaha waendelee kubaki mafichoni huko huko wakijisonya wenyewe ..
 
Kila la kheri Timu ya Wananchi.

Kikubwa tunachohitaji ni points tatu na si kingine ili kuendelea kujiwekea mazingira mazuri ya kutwaa ubingwa kwa mara ya tatu mfululizo.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
 
Hii inshu ya Pacome,Diara na Aucho na nasikia Musonda pia kutokucheza leo imekaje wadau?
Majeraha na familia.
Mwisho wa mwezi (3 weeks from now) kuna mechi kubwa. Hawa kina Skudu wanatosha.
 
Saa 12 jioni.
Inanikera sana kuiangalia Yanga inayoshinda kalibu kila Mechi.

Halafu wanapofungwa kama na Kagera FC goli halali linakataliwa.

Sijawahi kuona Yanga inafungwa goli halali halafu linakataliwa.
 
Back
Top Bottom