Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Daah Metacha usizingue tafadhali. Umeaminiwa ufute makosa usifanye mzaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aucho anaumwaWana matatizo gani wasiwepo leo?
Hakika sio utani mkuu 😂Sio utani mzee
Karibu mwananchi ndugu😁
Mbona 🐸🐸 mpo na wasiwasi mwingi ina maana hamna kikosi kipana?Leo Mikia wanaweza pata cha kusema langoni Metacha😭
Kikosi kama chenu na Prison umesahau?Mbona 🐸🐸 mpo na wasiwasi mwingi ina maana hamna kikosi kipana?
Zingatia mechi ya leo mkuu mpo kusini mwa TZ 😂😂Kikosi kama chenu na Prison umesahau?
Wanayanga wote tutaenda peponi ila aliyemleta Metacha atatupwa motoni...[emoji22]Leo Mikia wanaweza pata cha kusema langoni Metacha[emoji24]
Mwiko nyumadaima mbeleeeee
Kagere anamvutia pumzi Metacha 😂😂Wanayanga wote tutaenda peponi ila aliyemleta Metacha atatupwa motoni...[emoji22]
Mwiko nyuma
Daima mbele Mwiko nyumaSisi kama Wananchi tunasema gari limeshawaka, hakuna wa kutuzuia kwa sasa.
Tukutane juu pale kwenye msimamo…
Cheers
Ila leo gia hazitaingia so litabaki pale pale lilipo.Sisi kama Wananchi tunasema gari limeshawaka
Daima mbele Mwiko nyumaIla leo gia hazitaingia so litabaki pale pale lilipo.