FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

najisikia fahari kumshuhudia mudathir akiupiga mwingi, nishakimbia sana madrasa siku za weekend kwa lengo la kumuangalia nyakati hizo ndio tunabaleghe.

mpira ni mchezo wa nidhamu na bahati pia,
leo mudathir anacheza Yanga,
kombo mido sijui yuko wapi.
starehe na sifa za utotoni zilifisha kipaji chake.

alikuwa fundi sana kuliko mudathir
 
Back
Top Bottom