Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Hapa wamezibanaNa lawama zote watapeleka kwa Metacha huku akiwaacha waliotungua minazi bila kulenga goli ๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa wamezibanaNa lawama zote watapeleka kwa Metacha huku akiwaacha waliotungua minazi bila kulenga goli ๐๐
Maumivu ya nini pambaneniKipindi cha pili ndio kinaanza.. Kolowizdad ndio muda wenu huu wa kupata maumivu
Acha kukaririUsipoifunga yanga kipindi cha kwanza ndio Basi Tena ,hii game yanga tayari anashinda
๐ธ๐ธZingatia mechi ya leo mpo weak mnoTuliza boli wewe kolo
HaujasemaAll the Best Yanga
MmekamatwaLeo hutuchomoki aisee
Ni swala la muda tu, watachapika tena zaidi ya bao moja.Leo hutuchomoki aisee
Magoli yanakuja, tulieni.Dk 49 shambulizi kali mzize kakosa goli
Mwanaume ambaye yupo yanga huo ni umama ๐๐๐Nawatakia ushindi mwema Chama langu๐๐๐๐๐๐