FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

Tunaangalia marudio ya Prison vs Simba.

Yanga hatuna wasiwasi ni kawaida Point 3.
Hamna wasiwasi kwa sababu refa ni wenu.

Ila nikuambie ukweli Namungo sio Mtibwa sugar 😂😂


Mtaondoka na refa wenu mkamdai mshiko mliompa 😂😂🐸
 
Pale mbele inabidi shekhan aingie kuongeza mashambulizi.. Halafu huyu mzize ni center forward lakini muda wote hayupo kweny eneo lake matokeo yake mipira yote inaokolewa kirahisi na mabeki wa Namungo
 
Back
Top Bottom