hussein said bigawa
New Member
- Feb 27, 2024
- 3
- 4
kocha naona anataka kumdakisha METACHA jamaa simkubaligi bora msheriNasikia Aucho Diara na Pacome hawatakuwepo Leo anyway ila ushindi lazima
Ahsante Mtani.Khaa
Wenzetu wanacheza siku ya wanawake ? Nawatakia sikukuu njema mashabiki wote wa Utozidad wakiongozwa na Shadeeya
Ujumbe:Lolote jema liwakute Namungo
Jirani hii ngozi unavaa siku hizi hata haikupendezi. Teh teh.
Hadi Musonda na Yao Yao kama sijakosea Mkuu.Nasikia Aucho Diara na Pacome hawatakuwepo Leo anyway ila ushindi lazima
ππ nakusalimia ndugu yangu.Sisi Makolo tupo mafichoni tutajitokeza humu pale matokeo yatakapokuwa mazuri upande wetu..
Shem hivi hawa ndo wameamua kuwapumzisha tu au? πNa Musonda.
Kabeeesaa. ππππKam kauwaaa kam dauwaaaa daima mbeleeeee ππππππͺπͺπͺπ€!
Kila la kheri Yangaaaa
Yanga soo ya mchezo mchezoHuwenda yakajitokeza yaliyo mpata simba au azam?
Hii wiki soo ya mchezomchezo
Umesikia.....!! Ok.Nasikia Aucho Diara na Pacome hawatakuwepo Leo anyway ila ushindi lazima
Mmwera anapigwa cha mkwezi leo.Mala paΓ aaaa nyuma mwiko kawekwa ...aloooooo
Kolo utakufa mdomo waziKhaa
Wenzetu wanacheza siku ya wanawake ? Nawatakia sikukuu njema mashabiki wote wa Utozidad wakiongozwa na Shadeeya
Ujumbe:Lolote jema liwakute Namungo