FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

Kolozidad tukutane mwakani 🤣😂🤣😂😁😁😁
20240308_201613.jpg
 
Wakati huo mm nilikua sijaanza kushabikia. Nachojua mm toka nimeamza kushabikia yanga hatujakoaa ubingwa. Don't stuck to the past
Haha sasa wewe kuanza kushabikia mpira juzi siyo shida zetu, mpira haujaanza juzi kijana, lazima tuweke Rekodi sawa [emoji2][emoji2]
 
Itafikia mahali Simba watawapiga Mawe wachezaji wao.
Hao wachezaji waliosajiliwa kama international players.
Natoa tahadhari tu
 
Kuna shabiki mmoja alikuwa na bango limeandikwa Air manula 1......Samson Mbangula 2
 
Back
Top Bottom