FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

Kama utani vile, ni mwezi wa tatu ila makolo wanacheza kukamilisha ratiba tu.
 
🐸🐸Endeleeni kujifananisha na hiyo miamba ya soka la ukweli, ulivyo fyatu unadhani team kuwa na channel whatsapp ni upuuzi, hivi kuwa huko timu zote (toa 🐸🐸) nguli duniani zinapimana ubavu huko whatsapp channels?

Mamelodi wapo huko, Al ahaly wapo huko, mnyama yupo huko ila🐸🐸mpo Mbagara na kibaigwa mnatesa NBCPL 😂😂😂
Na Prisons wapo huko
 
Hahaha hahaha vichekesho vyako kingkong tunabonyeza wapi?.
20240306_182453.jpg

Tunabonyeza hapa
 
Kafungwa Namungo kuumia anaumia kolo mmoja mjingamjinga.
 
Comments za fans wa Simba bana🤣🤣🤣POLENI SANA TUNAELEWA MAUMIVU MLIYONAYO....Tatizo lenu ni moja tu...DENIAL👋
 
Umeuliza kwa hasira mnoo pole mtani..mimi ni mamalia nina zaa na kunyonyesha huo uchoko uko kwenu nyie wanaume..pole kwa kukuandikia comment hyo najua umeghafirika...ndo tabu ya utani unaweza kutania mambo ya hovyo ukute ni boss wako,baba yako au kaka yako...au mume au dada yako kabisaa sema mume wangu sio uto....
Exactly
 
Back
Top Bottom