black angel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2022
- 548
- 773
Mayele mpira haujamkutaa kabisaa tofauti na Kwa makamboMwanzo alikuwa ni Makambo tukasema hamna kitu, saizi ni Mayele tena mazingira yale yale naye kakosa
Tuseme bahati mbaya au tutumie maneno yale yale?
Kufungiwaa mechi tatu huku umekula 10 millions ya waarabu kuna hasara ganiYa Mchongo, lakini refarii na wasaidizi wake watahukumiwa kivyao..
Mngelijua hili msingekuwa mnawatisha kwenye zile press zenu na kushinikiza mashabiki waandamane kwa SamiaMarefa nao binadamu kaka.
Hii incident si Kama ile ya Meddie kagere kukatwa na Yondani nje ya box na Jonesya Rukya anaweka penalty.
Leo imekua favor kwa Yanga ndio maana unaongea haya, Next time itakua favored kwako na hutaongea.
Mwaka jana Mayele alinyimwa goli la 17 dhidi ya mtibwa na akakosa kiatu.
Pia tulinyimwa goli na Mbeya city tukakosa pointi tatu.
Najua unaumia sana mzee ila mpira ndio ulivyo.
TrueYa Mchongo, lakini refarii na wasaidizi wake watahukumiwa kivyao..
Tulia Ww!!Hivi wangekuwa ndio Geita wangepata ile Penati ?
Ya nje ya Box ?
Huyu refa ni mwanamke au mwanaume?
Kuna goli wamefunga Geita likakataliwa?
Wako bize kukatikia mauno mambo ya Yanga Sasa subiri kesho Mtibwa wawapelekee moto waanze kutandikana bakora.Mgunda asipokuwa makini kesho mtibwa sugar inamfukuzisha kazi