FT: NBC Premier League || Geita Gold 0-1 Yanga || CCM Kirumba, Mwanza || Oktoba 29, 2022

Sisi Simba hatutaki ushindi wa namna hiyo.
Wacha tufungwe tu
 
Yanga un beaten ....
Yanga inafadhiliwa na Gsm
Yangs mabingwa watetezi
Yanga klabu kubwa Afrika
Yanga inacheza mpira wa kisasa
Yanga hii bora kuliko zooote.
Yanga hii ina pesa nyiiingi.
Yanga hii inaongozwa na Enginear
Yanga hii ina jezi bora duniani
Yanga hii ina kocha bora ni profesa
Yanga hii inaheshimisha nchi
Yanga hii ni bora kuliko walio bora
Yanga hii ni hatariii
Yanga hii ni motooo
Yanga hii ndio mpira wa Tanzania
Yanga hii ina msemaji bora duniani
Yanga hii ni bingwa kabla ya mashindano
Yanga hii inafunga killa aina ya goli
Yanga Yanga Yanga timu bora
 
Basi chukueni ubingwa wa mwaka wa pili mfululizo.
Ila mnaona Simba akichukua Ubingwa na anaingia robo fainali Afrika.

Nyi mnaishia hapa hapa, sababu ya kubebwa.

Mmechukua ubingwa mwaka jana mmefika wapi kimaifa ?
 
Hadi leo kiwango cha Yanga hakitambuliki na CAF wala FIFA.

Sababu ya Ushindi wa Mchongo.

Kuna waganga wa kienyeji wana pesa kupita Bakhresa .
Ila kwakuwa hawapili kodi hawawezi kutambuliwa na Serikali wala Fobes.

Ndio Yanga ilivyo.
Manawekeza nguvu kwenye Ushirikina na Kuhonga waamuzi.

Mkitoka nje mna mfunga Zolani tu.
 
Parapanda italia parapanda tar 2 ndo itaonekana yanga halisi maana hii unbeaten inavyolindwa kwa udi na uvumba mpaka wenyewe wakiangalia marudio wanajicheka kwa yanayoendelea .
 
Hiki ndio mlicho bakiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…