Goli linabadilisha game plan na kupunguza molariKuna goli wamefunga Geita likakataliwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Goli linabadilisha game plan na kupunguza molariKuna goli wamefunga Geita likakataliwa?
Watafungaje na Yanga wapo 15 uwanjani.Kuna goli wamefunga Geita likakataliwa?
Yanga huwa unafanya come back na kupinduwa matokeo.Goli linabadilisha game plan na kupunguza molari
Pambaneni na hali yenu kesho na Mtibwa, gap ni point 6.Nilikuwa nyuma ya goli pembeni kidogo. Ile haikuwa penati
Mwaka mwingine tena huu wa kusikilizia maumivu.Upuuuzi mtupuuuuu
Washakuangushq tayariNawashangilia Geita Gold Wasiniangushe
Next time kawe refa kabisaNilikuwa nyuma ya goli pembeni kidogo. Ile haikuwa penati
Tunajadili mechi ya Yanga kama uzi unavyosema. Au mwenzetu unajadili kipi? Kwa vile una interest na matokeo tumia busara kunyamazaPambaneni na hali yenu kesho na Mtibwa, gap ni point 6.
Tunaomba utabiri wako kwenye mechi ya kesho, ndugu mtabiri. Binafsi naamini mnyama atalala kwa goli 1 bila.Tunajadili mechi ya Yanga kama uzi unavyosema. Au mwenzetu unajadili kipi? Kwa vile una interest na matokeo tumia busara kunyamaza
Get well soonParapanda italia parapanda tar 2 ndo itaonekana yanga halisi maana hii unbeaten inavyolindwa kwa udi na uvumba mpaka wenyewe wakiangalia marudio wanajicheka kwa yanayoendelea .
Hiki ndio mlicho bakizaHadi leo kiwango cha Yanga hakitambuliki na CAF wala FIFA.
Sababu ya Ushindi wa Mchongo.
Kuna waganga wa kienyeji wana pesa kupita Bakhresa .
Ila kwakuwa hawapili kodi hawawezi kutambuliwa na Serikali wala Fobes.
Ndio Yanga ilivyo.
Manawekeza nguvu kwenye Ushirikina na Kuhonga waamuzi.
Mkitoka nje mna mfunga Zolani tu.
Hi... Criston Cole ✌
My brother Katavi za miaka mingi...Kwa timu zote tu