FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

Kwa yanga ilivyocheza pale ,hili kombe halina maenyewe
 
Sikujua kama Makolo mlikua mnaumizwa namna hii na Unbeaten ya Yanga [emoji1787]

Poleni sana kwa maumivu ya muda wote [emoji851]
 
Ila wazee tuitishe kikao tujadiliane, how huyu anatukazia alafu kwa dogo katoa kiulaiiiini? [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…