FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

Kwa yanga ilivyocheza pale ,hili kombe halina maenyewe
 
Sikujua kama Makolo mlikua mnaumizwa namna hii na Unbeaten ya Yanga [emoji1787]

Poleni sana kwa maumivu ya muda wote [emoji851]
 
Ila wazee tuitishe kikao tujadiliane, how huyu anatukazia alafu kwa dogo katoa kiulaiiiini? [emoji1787]
 
Cake waibebe wapi Auntie?
Kweli Wahuni siyo watu wa kuwachukulia poa[emoji28][emoji28]
Anibiteni ya nyokweeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20221129-181636_Instagram%20Lite.jpg
 
Back
Top Bottom