FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

Ihefu wamefanya sub za uongo

Hii mechi yanga anakomboa na kuongoza goli la tatu.
 
Tulia tulia,tumetaka angalao wana lete Mdhunguu mpate kufurahi japo kwa dk. Chache😄
Sisi Yanga tunajua mpira... Yanga kufungwa si jambo la ajabu... Ni sehemu ya mchezo
 
Je, Yanga itaendeleza ubabe wake wa kutokufungwa? Ama Ihefu watavunja mwiko?

Tuungane pamoja katika huu uzi...

Kikosi cha wenyeji, Ihefu SC
View attachment 2430827


Kikosi cha wageni, Yanga.
View attachment 2430828


UPDATE: MANENO YA MAKOCHA KABLA YA MECHI

"Mechi ya leo inaweza kuwa ni mechi ngumu kuliko watu wanavyofikiria" Cedrick Kaze, Kocha msaidizi wa Yanga.

"Yanga ni timu kubwa, tunaiheshimu" Kocha wa Ihefu.

15:54 Timu zimeshaingia uwanjani.

00' Mpira umeshaanza

02' Ihefu wanafanya shambulizi, Diara anakamata mpira

07' Bangala Gooooooal

13' Mauya anafanya makosa jirani goli, ihefu wanashindwa kutumia nafasi.

15' Yanga wanapata free kick nje kidogo ya penati box. Mchezaji wa Ihefu anapata kadi ya njano.

16' Ihefu wanafanya shambulizi, Diara anakamata mpira.

22' Ihefu wanapoteza nafasi ya wazi kabisa hapa.

35' Ihefu wanapata kona

36' Dickson Job anapata kadi ya njano kwa kucheza rafu.

37' Goooooooaaal Ihefu wanapata goli

45' Half time. Ihefu 1 - 1 Yanga

2 Half Ihefu 1 - 1 Yanga

61' Gooooooooal Ihefu wanapata goli la pili
Viwanja vya mikoani viangaliwe upya pitches sio nzuri na inasababisha team kucheza mpira ambao sio wake kabisa.

Mpira ni burudani jaman
 
Back
Top Bottom