Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Mpira sijabahatika leo kuangalia lakini mechi iliyopita Yanga walikataliwa goli halali kabisa na kuambiwa kuwa ni offside. Tufikie wakati tukubali tu kuwa Tanzania haina wamuzi makini kama kweli leo Yanga imepata goli ambalo ni la offside.. maana kubebwa habebwi Yanga pekee bali kila timu ikiwepo Simba wamenufaika kwa maamuzi mabovu ya waamuzi.
Sent from
Unamaana mpaka sasa angekuwa ashakula 3 eeeIhefu wananyimwa penati ya wazi kabisaa pale