FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

FT: NBC Premier League: Ihefu SC 2-1 Yanga SC

Mpira sijabahatika leo kuangalia lakini mechi iliyopita Yanga walikataliwa goli halali kabisa na kuambiwa kuwa ni offside. Tufikie wakati tukubali tu kuwa Tanzania haina wamuzi makini kama kweli leo Yanga imepata goli ambalo ni la offside.. maana kubebwa habebwi Yanga pekee bali kila timu ikiwepo Simba wamenufaika kwa maamuzi mabovu ya waamuzi.

Sent from

Ihefu wananyimwa penati ya wazi kabisaa pale
Unamaana mpaka sasa angekuwa ashakula 3 eee
 
Back
Top Bottom