Je, Yanga itaendeleza ubabe wake wa kutokufungwa? Ama Ihefu watavunja mwiko?
Tuungane pamoja katika huu uzi...
Kikosi cha wenyeji, Ihefu SC
View attachment 2430827
Kikosi cha wageni, Yanga.
View attachment 2430828
UPDATE: MANENO YA MAKOCHA KABLA YA MECHI
"Mechi ya leo inaweza kuwa ni mechi ngumu kuliko watu wanavyofikiria" Cedrick Kaze, Kocha msaidizi wa Yanga.
"Yanga ni timu kubwa, tunaiheshimu" Kocha wa Ihefu.
15:54 Timu zimeshaingia uwanjani.
00' Mpira umeshaanza
02' Ihefu wanafanya shambulizi, Diara anakamata mpira
07' Bangala Gooooooal
13' Mauya anafanya makosa jirani goli, ihefu wanashindwa kutumia nafasi.
15' Yanga wanapata free kick nje kidogo ya penati box. Mchezaji wa Ihefu anapata kadi ya njano.
16' Ihefu wanafanya shambulizi, Diara anakamata mpira.
22' Ihefu wanapoteza nafasi ya wazi kabisa hapa.
35' Ihefu wanapata kona
36' Dickson Job anapata kadi ya njano kwa kucheza rafu.
37' Goooooooaaal Ihefu wanapata goli
45' Half time. Ihefu 1 - 1 Yanga
2 Half Ihefu 1 - 1 Yanga
61' Gooooooooal Ihefu wanapata goli la pili