Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee....SawasawaSisi Yanga tunajua mpira... Yanga kufungwa si jambo la ajabu... Ni sehemu ya mchezo
Ila ghana alikaza mno jana alikaba kwa nidhamuLabda timu iwe ya mourinho.. Wawaulize wenzao ghana, msako waliokutana nao kwa wakorea
Mechi ikishaisha ofa inafungwa
Duh....Dakika ya 88 Ihefu 2 vs Yanga 1
Afanye faster sasa kabla mechi haijaishaMechi ikishaisha ofa inafungwa
43Dkka ya ngap huko
🤣🤣🤣Yanga mjue tumebet
Pole babyHii ya Leo inachoma kama pasi walaqhi',
Osie kuzachaDah! Ila wananchi tumetia aibu!! Tunafungwa na Ihefu!!! 😩
Acha mambo yako itakuwa🦁weweKocha Juma Mwambusi najua umewatoa Wachezaji muhimu wa Ihefu FC ili Kuidhoofisha Timu na Yanga SC yako ( Unayoishabikia ) warudishe Goli na wapate hata Ushindi.
Mnafiki mkubwa sana tu Wewe JM!!!