Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Mpaka warudishe3 zilikua halali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka warudishe3 zilikua halali
Kabisa..3 zilikua halali
🤣😅😃😁😄😆Hii ya Leo inachoma kama pasi walaqhi',
Kwani wewe roho haikuumi? Unatafurahi kuipoteza hii game?Wangekuwa ndiyo mashabiki wa simba, muda huu kelele za kumkataa kocha na wachezaji zingetawala.
Simu yake iliisha chajiAu muamala refa hajauona? Ila kwa Mwambusi tayari shida makamanda wamekaza [emoji1]
Nitulie nini sasa!! Mimi kama shabiki wa Yanga, nakubaliana na matokeo. Lilikuwa ni suala tu la muda.Tulia wewe.
Tufanye tu uungwana zimebaki 2Nyingi sana hizo tutapata wapi muda wa kujiandaa kuangalia kombe la dunia?
Mwambusi Ajapewa bahashaMwambusi ameshafanya yake huko
Azam ipo hiyoAzam tunabeba kombe kama ndo team zinahangaishwa na ihefu
Hata Azam inabebwa na yenyeweAzam tunabeba kombe kama ndo team zinahangaishwa na ihefu
Asemaye Kesho MuongoLeo ni leo
Leo unacomment huku vidole vinatetemeka kwa ghadhabu ya kukataliwa muamala wenuWangekuwa ndiyo mashabiki wa simba, muda huu kelele za kumkataa kocha na wachezaji zingetawala.
Duh....Dakika 4 kati ya 5 za nyongeza Ihefu 2 Yanga 1
Utajua hujuiAzam ipo hiyo
Muda kweli hauendiTufanye tu uungwana zimebaki 2
Zitaisha tuMmmmh