FT: NBC Premier League: Kagera Sugar 1 - 1 Namungo FC | Kaitaba Stadium

FT: NBC Premier League: Kagera Sugar 1 - 1 Namungo FC | Kaitaba Stadium

Kagera wana kikosi kizuri
 
Dakika ya 60, ni mwendo wa sub na faulo tu
 
Camera man wa Azam anazingua kageuzia camera chini hafu ata hawajishtukii karibia sekunde 10
 
Duh winga ya kulia ya Kagera 🙌🙌🙌
 
Mpira sio professional kabisa.
 
Mpira wa hizi team ndogo hauna radha sana, haipiti dakika 1 mpira haujatoka au faulo.
 
Free Kick kuelekea goal la Kagera. Eneo baya
 
Dah Kagera wanawapelekea. Moto hawa watoto qa kishua
 
Mpira butu butu kikubwa uiongie golini.
 
Dakika ya 68 bado Kagera anaongoza 1
 
dah hatari sana ilikua hapa lango la Namungo
 
Back
Top Bottom