FT: NBC Premier League: Kagera Sugar 1 - 1 Namungo FC | Kaitaba Stadium

FT: NBC Premier League: Kagera Sugar 1 - 1 Namungo FC | Kaitaba Stadium

Izi team ndogo bado sana. Ukitaka raha ya mpira wacheze Yanga, Simba, Azam, Singida ndio angalau. Hawa wengine butua butia nyingi sana.
 
Daaaah kosa kosa hapa lango la Namungo
 
Kagera Wanafanya Sub, katoka Gabir kaingia Dickson
 
Mpira wa Namungo wa Uswahili kama Ihefu kupoteza muda
 
Muda wowote firimbi inapigwa
 
Mpira ni 1 kwa 1 katika dimba la Kaitaba. Asanteni
 
Ni offside hiyo
Huwezi amini. Nimetafuta huu uzi ili tu kuitafuta kama mtu kakomenti kuhusu ile offside. To me ni clear off side. Chajabu hata wachambuzi hawajui sheria ya offside. Maana wamemkosoa Erasto Nyoni.
Bado naamini ni offside mpaka nitakapo proviwa otherwise.
 
Hata mm nimeshindwa kuwaelewa wachambuzi wetu ile ni clear offside. Ndio maana hata erasto alinyoosha mkono. Sema ndio hivyo soka letu hadi fulani aseme ndio watu waamini.
 
Back
Top Bottom