Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi amini. Nimetafuta huu uzi ili tu kuitafuta kama mtu kakomenti kuhusu ile offside. To me ni clear off side. Chajabu hata wachambuzi hawajui sheria ya offside. Maana wamemkosoa Erasto Nyoni.Ni offside hiyo
Hata mm nimeshindwa kuwaelewa wachambuzi wetu ile ni clear offside. Ndio maana hata erasto alinyoosha mkono. Sema ndio hivyo soka letu hadi fulani aseme ndio watu waamini.Huwezi amini. Nimetafuta huu uzi ili tu kuitafuta kama mtu kakomenti kuhusu ile offside. To me ni clear off side. Chajabu hata wachambuzi hawajui sheria ya offside. Maana wamemkosoa Erasto Nyoni.
Bado naamini ni offside mpaka nitakapo proviwa otherwise.