FT: NBC Premier League: Kagera Sugar 1 - 1 Namungo FC | Kaitaba Stadium

FT: NBC Premier League: Kagera Sugar 1 - 1 Namungo FC | Kaitaba Stadium

Kipa kiulainii kaichukua
 
Dakika ya 72,
1-1

Pius Charles kachomoa
 
Sasa naona Namungo wamechangamka
 
Kagera Wameshindwa itumia vizuri Free kick imetoka nje
 
Namungo wamejaribu kushambulia imekua Kona
 
Namungo wako kwenye motooo
 
Kadi ya Njano kwa Zakaria wa Namungo
 
Zakaria alikua tayari ana kadi ya Njano
 
Namungo wanapungukiwa na mchezaji mmoja.. RIP
 
Dakika ya 78 hatari sana
 
Kagera wanashambulia hapa ila ni offside.. hatari sana
 
Kipa wa Namungo anaona apoteze tu muda maana mlinzi wake mmoja kala umeme..
 
Sub imefanyika, kaingia beki kureplace ile red card
 
Back
Top Bottom