Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihisha mamiloo,it is 3:1,na Bado mpira unadundaKuna mtu ataanzisha uzi tumeibeba Mbeya isishuke daraja ila kwny kumbukumbu itabakia Mbeya City 3 Yanga SUFURI
hapo uto wanajipima je tukikubali kumuuza mayele tunajimudu, sasa jibu wanaloUtopolo bila mayele Ni utopolo mtupu🚮
Ungeniuliza mimiAisee YANGA anachana mkeka wangu[emoji3525]
,
Jana usiku naingia 1xbet nakuta YANGA kawekewa odd 2+ ashinde, nikazishobokea[emoji26]
Supu supu supuBado wanaifanyia usafi wa kina...
AahaaaaaaaUngeniuliza mimi
Masai sio wa kumdhamini
No na kombe la Robo fainaliWameingia na medali?
Piga mkono utupige fainiAh wapi bahasha ishatembea
Yanga akipata droo,hao kenge wajiluamu wenyeweYanga bingwaaa bwanaa,tunafanya mazoezi hapo[emoji172][emoji172][emoji3][emoji3]
Manga freshhhhhhhhhTunataabikaa tunasurubikaaaa jamanii sisi tunapigaaakaaa sisi tunatandikwaaa tumebaki kufa na kuzikwaaa