Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu kama hicho.Siku pekee ambayo tunafungwa huku tunafuraha... [emoji23]
Kwanza lini mnaanza kupita na medali kila mkoa?Sawa,miye naomba tubadilishane,we unipe ya robo fainali CAF CL na miye nikupe ya CAF CC
Mpira haujaisha inaweza tukapigwa Cha nneVidole vya jaduView attachment 2648014
Champions awafiki makundi hawa wallai tena nakwambia.Makundi anaweza kufika. Ila nafasi ya tatu hawataona kamwe.
Mtakapoanza nyie kutembeza za Robo Fainali,tunawaiga wababe wa Africa Simba Sports ClubKwanza lini mnaanza kupita na medali kila mkoa?
Basi haina maanaMuda mmoja ni mechi za kufunga ligi tu
Toto tundu jana atakuwa kalewa sana labdaMorison anastahili Nyekundu