FT: NBC Premier League: Simba 2 - 0 Dodoma Jiji | Uwanja wa Uhuru~20,08,2023

Sisi huku Mtowiso,Sumbawanga Dc wamekata umeme
 
Mchezaji wa Dodoma ameunawa mpira kwenye box lakini refa hajaona
 
Refa kakataa nasikia kuna mtu kaunawa wa dodoma jiji....
 
MTU KAPIGWA TEKE LA SHINGO REFA KAPETA TU INGEKUA MCHEZAJI WA DODOMA KAFANYA HIVYO TUNGESHUHUDIA KADI HAPA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…