ukawa dona
JF-Expert Member
- Feb 8, 2023
- 516
- 887
Mbona uzi wenu kule wa kimataifa umedorora?? Mnaogopa?MTU KAPIGWA TEKE LA SHINGO REFA KAPETA TU INGEKUA MCHEZAJI WA DODOMA KAFANYA HIVYO TUNGESHUHUDIA KADI HAPA.
Mhh mbona kama mnataka muifanye Simba iwe kama Man City? Maana naona hamridhiki0:0..simba bado haijaimarika, wanacheza kama timu ya kawaida
Wakicheza vizuri tutawasifu ila wanavyocheza hakuna namna!Mhh mbona kama mnataka muifanye Simba iwe kama Man City? Maana naona hamridhiki
Sawa mkuu mimi wala sipo kideoni...endeleeni ku observeWakicheza vizuri tutawasifu ila wanavyocheza hakuna namna!
Coach ana kazi ya kufanya
Ni kwa sababu hii ni mechi ndogo tu ya ligi. Hivyo nashauri aache ibakie tu hivyo hivyo.Admin mbona huu uzi hauweki button Ya Live?
Hahahahah mwaka huu mtakufwaaaa....Ni kwa sababu hii ni mechi ndogo tu ya ligi. Hivyo nashauri aache ibakie tu hivyo hivyo.
Lolote baya liwakuteSalaam Tanzania na duniani kote!
Mechi kubwa ya leo Tanzania na Afrika mashariki na kati ni kati ya SIMBA VS DODOMA JIJI
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayojulikana kama NBC PREMIER LEAGUE (NBC), Kuendelea kushika kasi katika viwanja tofauti ambapo kwenye katika uwanja wa Uhuru Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni kupepetana na dodoma jiji
Mchezo huo utarajiwa kuwa mkali na wakusisimua kwa muda wote wa dakika tishini ambapo Dodoma jiji wakitaka kuendeleza ushindi huku kwa upande wao Simba SC wakizisaka alama tatu muhimu ili kuweza kuweza kuongoza ligi
Kulitaka mwana, kulipewa mwana
Wanasimba na mdau wa kabumbu popote ulipo shuhudia hii Show ya Hatari kuanzia saa 10: 00 JIONI View attachment 2722334
live AZAM SPORTS 1 HD kutoka kwa Simba SC, ya nguvu moja yenye viwango vinavyoeleweka
liwakute DJ na Utopolo huko Azam ComplexLolote baya liwakute
Kumbe mechi ni ya hapo Azamcomplexliwakute DJ na Utopolo huko Azam Complex
Aahaaaaliwakute DJ na Utopolo huko Azam Complex
Admin yupo busy na mechi ya wananchiAdmin mbona huu uzi hauweki button Ya Live?