FT: NBC Premier League: Simba 2 - 0 Dodoma Jiji | Uwanja wa Uhuru~20,08,2023

FT: NBC Premier League: Simba 2 - 0 Dodoma Jiji | Uwanja wa Uhuru~20,08,2023

Salaam Tanzania na duniani kote!
Mechi kubwa ya leo Tanzania na Afrika mashariki na kati ni kati ya SIMBA VS DODOMA JIJI

Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayojulikana kama NBC PREMIER LEAGUE (NBC), Kuendelea kushika kasi katika viwanja tofauti ambapo kwenye katika uwanja wa Uhuru Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni kupepetana na dodoma jiji

Mchezo huo utarajiwa kuwa mkali na wakusisimua kwa muda wote wa dakika tishini ambapo Dodoma jiji wakitaka kuendeleza ushindi huku kwa upande wao Simba SC wakizisaka alama tatu muhimu ili kuweza kuweza kuongoza ligi

Kulitaka mwana, kulipewa mwana

Wanasimba na mdau wa kabumbu popote ulipo shuhudia hii Show ya Hatari kuanzia saa 10: 00 JIONI View attachment 2722334
live AZAM SPORTS 1 HD kutoka kwa Simba SC, ya nguvu moja yenye viwango vinavyoeleweka
Lolote baya liwakute
 
Hii Simba nayo jamani ndio inawapa watu midomo ya kusema Wana timu?, Hongereni kwakuwa msimu huu mmewekeza kwa marefa.
 
Back
Top Bottom