FT: NBC Premier League: Simba 2 - 0 Dodoma Jiji | Uwanja wa Uhuru~20,08,2023

FT: NBC Premier League: Simba 2 - 0 Dodoma Jiji | Uwanja wa Uhuru~20,08,2023

Saido anapiga shuti linaenda nje ya lango
 
5'

Onana anatoa pasi kwa Baleke lakini Baleke anamlenga kipa na mpira unatoka nje na kuwa kona

Kona anapigaa kipa anadaka
 
Hivi Mechi Zinazochezwa Kwenye Huu Uwanja Wa Uhuru Mbona Zinaoneshwa Vibaya Hivi, Yani Kama Camera Zimewekwa Nyuma Ya Maeneo Ya Benchi La Ufundi.
 
Nimemuhesabia mzamiru kapoteza mipira mi 5 mfululizo.
Au bado hajawaka .....
 
Back
Top Bottom