FT: NBC Premier League: Simba 3-0 Ruvu Shooting : Mei 12, 2023

Chama kapoga shuti lakini mlimda mlango kaokoa, ilikuwa hatari sana
 
Kapombeee shuti lake linaokolewa na golikipa
 
Chama hataki kufunga anatafuta assist tu
 
Utopolo Karibuni Hapa Kwenye draft...!

Lile la kwenu huwa ni Papatu Papatu...!
 
Kawaida tuu mkuu..ni nyakati za kawaida mnoo kwny michezo..tunaweza kuwa wakati huu hata kwa miaka 2 mfululizo
Kuimba kupokezana mana miaka minne yanga walikuwa wanahangaika na kina molinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…