Yanga final haina ubishi. Ya ga hawezi pigwa tatu bilaMdomo usije kutuponza japo tunajiamini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga final haina ubishi. Ya ga hawezi pigwa tatu bilaMdomo usije kutuponza japo tunajiamini.
mikataba yao ikiisha wataondokakama huyo onyango wiki ijayo afungashe
Duh, Yesu Wa pili..! Alikufa?sako kafufuka
anapaswa apate mechi hizi ndogondogo kwa wingi sanaYule aisee amekuwa na wiki mbili mbaya sana
Kwani unawafanyia usaili waje dirisha dogo Simba au???
Yule sio semi final material bwanaanapaswa apate mechi hizi ndogondogo kwa wingi sana
Kawaida tuu mkuu..ni nyakati za kawaida mnoo kwny michezo..tunaweza kuwa wakati huu hata kwa miaka 2 mfululizoAisee hatari wanasimba mpo wapole sana.
Kazi na dawa 🔥🔥🔥
Kuimba kupokezana mana miaka minne yanga walikuwa wanahangaika na kina molingaKawaida tuu mkuu..ni nyakati za kawaida mnoo kwny michezo..tunaweza kuwa wakati huu hata kwa miaka 2 mfululizo
ndio kichaka chake cha kujifichia tumemshitukia nae ajishikilieChama hataki kufunga anatafuta assist tu