Tuonyeshe medali tafadhali ya haya makombeSimba tutembee kifua mbele .. pamoja na kukosa makombe yote tuna mengi mazuri ya kujivunia msimu huu. Ni timu pekee iliyofika robo fainali club bingwa Africa kwenye hapa Africa Mashariki, ni timu yenye idadi kubwa zaidi ya magoli na hat trick nyingi kuliko timu zote kwenye ligi ya ndani, ni timu iliyofunga magoli mengi makundi kuliko timu zote Africa kwenye mechi moja, ni timu pekee iliyoifunga Utopolo ikiwa imevaa jezi nyeusi[emoji91], nk..
niko nao haoWapenzi wa mpira tusisahau baadae mida ya nne kamili usiku nusu fainal ya caf Kati ya
ESPERANCE TUNIS VS AL AHLY
Za chini chini nasikia sahivi nguvu zenu mmeelekeza kwenye kudai katiba mpya...π€£π€£Nimekumis mtani Eve...
Sisi hatuchezi kwa presha tena..presha tumewaachia nyie π π
kulinda ulicho pata zaidiHivi sub za dk 85, 86, 87, 88, 88, ...huwa lengo lake ni nn?
Ndio utoKumbe makolo walikuwa wana heza leo!! Basi sawa.
Hyo katiba ikipita tumeazimia club ya Yanga ifutwe tuu maana haijashiriki club bingwa Africa miaka 30 inaishia chini huko sasa..ibaki Simba tuu π π πZa chini chini nasikia sahivi nguvu zenu mmeelekeza kwenye kudai katiba mpya...π€£π€£
Nmekumiss mtani, sie hatuna presha tunasubiria kuweka tu.
BonusHivi sub za dk 85, 86, 87, 88, 88, ...huwa lengo lake ni nn?
Kwa nini?Mi nawaambia uchawi upoo aisee..
Niulize kwanini