FT: NBC Premier League: Simba 3-0 Ruvu Shooting : Mei 12, 2023

Hivi mabdiliko ya dkk ya 88 huwa mwlm anawaza nini
Nadhani kocha anakuwa na plan zake kulingana na anachokiona mazoezini.

Huwenda sub za mapema kwa wachezaji walioko benchi sio maamuzi sahihi
 
Nadhani kocha anakuwa na plan zake kulingana na anachokiona mazoezini.

Huwenda sub za mapema kwa wachezaji walioko benchi sio maamuzi sahihi
Nimekuelewa mwana Lunyasi
 
Chuma cha 3 huko[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
UTO wanaumia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
BAHLABANE BA NTWA
[emoji81][emoji81]mna jitekenya na kucheka wenyewe haya mna kimbilia wapi sasa uko gizani si mme ambiwa wenye taa washa ondoka na taa yao
 
Sisi wa kukosa hata kombe moja kweli??? 😆 😆 😆
Sasa kwa nyie hamlogi?
Mbona yanga wakati walikuwa na kina molinga walikuwa wanaloga lakini wanafungwa tuu.
Nyie wekeningela mlata semi final quality players. Yanga wana watu bwana.
Kwanza kesho tupo chamazi tunademka na warembo wa yanga.
Evelyn Salt kuna ticket yako na jersey juu
 
Class mate hebu kalale bana sisi hizi ligi za kuku tushavuka huku kitambo

Mdomo huo utakuponza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MARUMO gallants watatulipia

BAHLABANE BA NTWA
 
Haya banaaa..kwani mnachezea chamaz? Sio Liti singida
 

Ndyo tumekosa ubingwa lakin roho yangu imefurah hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Simba walizingua kutoa sare na Namungo tu siku ile kwa mategemeo ya kutunza wachezaji kwa ajili ya FA
 
Haya banaaa..kwani mnachezea chamaz? Sio Liti singida
Yanga sii anacheza dhidi ya dodoma kesho saa kumi chamazi.
Njoo uone warembo wanavyo meremeta na uzi wa kishua🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…