the bidhaa
JF-Expert Member
- Apr 4, 2022
- 268
- 761
Asante sana Mnyamaaa[emoji881][emoji881][emoji881][emoji881]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani kocha anakuwa na plan zake kulingana na anachokiona mazoezini.Hivi mabdiliko ya dkk ya 88 huwa mwlm anawaza nini
Sisi wa kukosa hata kombe moja kweli??? 😆 😆 😆Kwa nini?
Nimekuelewa mwana LunyasiNadhani kocha anakuwa na plan zake kulingana na anachokiona mazoezini.
Huwenda sub za mapema kwa wachezaji walioko benchi sio maamuzi sahihi
Class mate hebu kalale bana sisi hizi ligi za kuku tushavuka huku kitamboChuma cha 3 huko[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
UTO wanaumia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
BAHLABANE BA NTWA
Mmeanza 🤣🤣🤣Mi nawaambia uchawi upoo aisee..
Niulize kwanini
Hamuwezi gusa ligi zetu za mabingwa bi dada... 😆 😆 😆Class mate hebu kalale bana sisi hizi ligi za kuku tushavuka huku kitambo
😆😆😆😆😆❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🤍🤍🤍🤍🤍🤍💜💜💜💜💜💜Mmeanza 🤣🤣🤣
[emoji81][emoji81]mna jitekenya na kucheka wenyewe haya mna kimbilia wapi sasa uko gizani si mme ambiwa wenye taa washa ondoka na taa yaoChuma cha 3 huko[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
UTO wanaumia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
BAHLABANE BA NTWA
Sasa kwa nyie hamlogi?Sisi wa kukosa hata kombe moja kweli??? 😆 😆 😆
Class mate hebu kalale bana sisi hizi ligi za kuku tushavuka huku kitambo
Haya banaaa..kwani mnachezea chamaz? Sio Liti singidaSasa kwa nyie hamlogi?
Mbona yanga wakati walikuwa na kina molinga walikuwa wanaloga lakini wanafungwa tuu.
Nyie wekeningela mlata semi final quality players. Yanga wana watu bwana.
Kwanza kesho tupo chamazi tunademka na warembo wa yanga.
Evelyn Salt kuna ticket yako na jersey juu
Huu mshono nasikia hautaki kushona japo umeshaletewa uponyaji wa kila ainaView attachment 2619422
Ndyo tumekosa ubingwa lakin roho yangu imefurah hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Yanga sii anacheza dhidi ya dodoma kesho saa kumi chamazi.Haya banaaa..kwani mnachezea chamaz? Sio Liti singida