Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
kwa vituko vinavyo endelea ni mungu saidia tuh tumalize na cha mkweziHuu uzi mbona leo hautembei kama siku zingine ?? 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa vituko vinavyo endelea ni mungu saidia tuh tumalize na cha mkweziHuu uzi mbona leo hautembei kama siku zingine ?? 🤣🤣🤣
Ndo inayosema...! Wale Wydad ni wa Pili kwa Ubora.! M.Gallants ni wa 79.Sijui hawa CAF wanaangalia nini?CAF inawatambua?
naona mnatinga fainali na kuchukua ndoo mtaniDraw itapendeza
kama huyo onyango wiki ijayo afungasheWaacheni wachezaji mnawasema sana saikolojikali hawako sawa..nyie wanaume mfano kila siku msemwe na wake zenu hampafomu vzr kwa bed kesho yake mtakua na morali sio kwa bed tuu hata makazini unajitahidi sana kufanya kazi ila hakuna motisha yoyote mtapata nguvu za kufanya hiyo kazi?? Watu wazomewe hao hao wachekwe kweli mnategemea watafanya maajabu?
Aisee hatari wanasimba mpo wapole sana.Waacheni wachezaji mnawasema sana saikolojikali hawako sawa..nyie wanaume mfano kila siku msemwe na wake zenu hampafomu vzr kwa bed kesho yake mtakua na morali sio kwa bed tuu hata makazini unajitahidi sana kufanya kazi ila hakuna motisha yoyote mtapata nguvu za kufanya hiyo kazi?? Watu wazomewe hao hao wachekwe kweli mnategemea watafanya maajabu?
Na hata leo wakifunga chini ya goli 3 tutawazomeaWaacheni wachezaji mnawasema sana saikolojikali hawako sawa..nyie wanaume mfano kila siku msemwe na wake zenu hampafomu vzr kwa bed kesho yake mtakua na morali sio kwa bed tuu hata makazini unajitahidi sana kufanya kazi ila hakuna motisha yoyote mtapata nguvu za kufanya hiyo kazi?? Watu wazomewe hao hao wachekwe kweli mnategemea watafanya maajabu?
naona mnatinga fainali na kuchukua ndoo mtani
Yule aisee amekuwa na wiki mbili mbaya sanakama huyo onyango wiki ijayo afungashe