FT: NBC Premier League: Simba 3-0 Ruvu Shooting : Mei 12, 2023

Mkude naye kapokea kadi ya njano kwa kucheza mchezo usio wa kiungwana
 
Naona kocha wa MARUMO gallants yupo uwanjani kuangalia jinsi simba walivyomfunga yanga
BAHLABANE BA NTWA
MARUMO 4
UTO 0
 
Waacheni wachezaji mnawasema sana saikolojikali hawako sawa..nyie wanaume mfano kila siku msemwe na wake zenu hampafomu vzr kwa bed kesho yake mtakua na morali sio kwa bed tuu hata makazini unajitahidi sana kufanya kazi ila hakuna motisha yoyote mtapata nguvu za kufanya hiyo kazi?? Watu wazomewe hao hao wachekwe kweli mnategemea watafanya maajabu?
 
kama huyo onyango wiki ijayo afungashe
 
Waacheni wachezaji mnawasema sana saikolojikali hawako sawa..nyie wanaume mfano kila siku msemwe na wake zenu hampafomu vzr kwa bed kesho yake mtakua na morali sio kwa bed tuu hata makazini unajitahidi sana kufanya kazi ila hakuna motisha yoyote mtapata nguvu za kufanya hiyo kazi?? Watu wazomewe hao hao wachekwe kweli mnategemea watafanya maajabu?
Aisee hatari wanasimba mpo wapole sana.
 
Waacheni wachezaji mnawasema sana saikolojikali hawako sawa..nyie wanaume mfano kila siku msemwe na wake zenu hampafomu vzr kwa bed kesho yake mtakua na morali sio kwa bed tuu hata makazini unajitahidi sana kufanya kazi ila hakuna motisha yoyote mtapata nguvu za kufanya hiyo kazi?? Watu wazomewe hao hao wachekwe kweli mnategemea watafanya maajabu?
Na hata leo wakifunga chini ya goli 3 tutawazomea
 
Ni yule yule Mwenye goal bora la mwaka la caf [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom