3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Endeleeni kupigania ubingwa simba anahitaji kushinda mechi zake tuNdoto za ubingwa?
Ndoto mnazo nyie mnaowaza visivyowezekana
Ok, timu ya kumfunga Yanga haipo katika hizo mechi saba zilizobaki
Yani imagine Yanga ashinde mechi tatu tuu, na kutoa sare nne, then bado tutabato na nyie kwenye goal difference, kama mkishinda zote
mechi saba
Hamuoni kwamba mnaota tuu kuanza kutegemea hili na hili litokee, then hili tena litokee
It won't happen!
Vp HukoSimba anafungwa.
Too little too late!Endeleeni kupigania ubingwa simba anahitaji kushinda mechi zake tu
yule anachoweza kukaba tu,kupiga pass hawezimzamiru anazingua
Kesho Wagogo Wanampiga Utopolo Mapema Yaani Hata Moja La Nguruwe
Kachoka..anajilazimisha.wakutolewa tuhyule anachoweza kukaba tu,kupiga pass hawezi
Simba 2~0 KageraMatokeo tafdhl
EwaaSimba 2~0 Kagera
Amwingize Kenedy, Inonga asogee katiBenchi la ufundi Simba acheni uzuzu. Toeni Mzamiru, ingizeni Mwenda then Kapombe acheze kati
Inonga yuko kati tangu mwanzo.Amwingize Kenedy, Inonga asogee kati
Na kitambi chake.Kiiza maji ya shingo