FT: NBC PREMIER LEAGUE: Simba SC 3-1 Coastal Union | 09/06/2023

Hongera sana Saido Ntibazonkiza , ulichofanya ni kidogo kwa macho ya wasioheshimu jitihada binafsi za wengine ila kwetu ni faraja na matumaini msimu ujao

Nenda Simba Nenda sisi zetu Dua
 
Mayele anapambaniwa pasi zote ni yeye hadi huruma 🤣🤣
 
Huo ni umuhimu kwa mashabiki ila kocha naye ana Malengo ya kimkataba. Ameagizwa shinda mechi kadhaa atataka apite malengo. Saido akichukua na akapata ushindi sawa, ila si kinyume.
 
Ee Mungu Baba tunakuomba ufanikishe hili jambo letu.
 
KMC anaongoza goli 1 kwa hiyo hata Coastal akifungwa yuko salama.
 
Saidoo ana assist nyingi kuliko Mayele, sijui nayo inaweza kuwa kigezo cha nyongeza kupewa kiatu cha dhahabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…