Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Daaah[emoji23][emoji23]Kidume mwenzio huyo. Shauri yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah[emoji23][emoji23]Kidume mwenzio huyo. Shauri yako
Kipi? Kulingana Magoli na Mayele?Yote imeanza Saa 9:30 ila kwasaizi ingeisha tu maana Saido kaishapata tulichokuwa tunataka
86Dakika ya ngapi huko?
Huo ni umuhimu kwa mashabiki ila kocha naye ana Malengo ya kimkataba. Ameagizwa shinda mechi kadhaa atataka apite malengo. Saido akichukua na akapata ushindi sawa, ila si kinyume.Saizi kipaumbele hakiwezi kuwa ushindi kwasababu ushindi haubadilishi chochote.
Ukishinda bado unabaki nafasi ya pili
Ukifungwa bado unabaki nafasi ya pili.
Hakuna ushindi wowote ambao utakuwa na value kwako.
Hivyo value ikiyobaki ni kutoa wachezaji bora na wafungaji bora.
Tayari unaye Saido ambaye ana goli 15 nyuma ya Mayele kwa bao 1.
Hii haikuwa game ya kuja na plan za kushinda, ilikuwa ni game ya kuja na plan za kumiliki mpira eneo la mwisho ili Saido afunge.
Assist saidoo amezid, ko ikibaki hivi Saidoo anachukuaaa kiatuuKipi? Kulingana Magoli na Mayele?
1-1Namungo na singida imekuwaje?
Uhakika upoo, couzz ikibaki hivi saidoo ana asist nyingiiSaidoo anahitaji kimoja zaidi awe na uhakika
Hapo ndio atakuwa yuko sehemu salama kabisaSaidoo anahitaji kimoja zaidi awe na uhakika
Yes, raha iliyoje[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uhakika upoo, couzz ikibaki hivi saidoo ana asist nyingii
Game ya Yanga bado dakika 2Uhakika upoo, couzz ikibaki hivi saidoo ana asist nyingii
Mayele anaweza akafunga, wale kwanza mechi yao ipo nyuma kwa dakika 5Uhakika upoo, couzz ikibaki hivi saidoo ana asist nyingii
Magoli ya penalt wanayakata!!Saidoo ana assist nyingi kuliko Mayele, sijui nayo inaweza kuwa kigezo cha nyongeza kupewa kiatu cha dhahabu?