OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wameridhika na ubingwa pengine.Weka kijiwe hapa ufurahie show ya Simba mtaniWanayanga wenzangu wanafeli sana
Huyu mtu ni balaaMayele kafunga huko
Nipo nasubiria magoli yangu matatu hapaWameridhika na ubingwa pengine.Weka kijiwe hapa ufurahie show ya Simba mtani
Unagombea nini?Wameridhika na ubingwa pengine.Weka kijiwe hapa ufurahie show ya Simba mtani
na nyie makolo timu yenu bila nani wanakua wepesi??Litimu lao la Utopolo bila Mayele Diara ni Wepesi Kama Pamba
Kafikisha magoli mangapi!?Huyu mtu ni balaa
Mkuu mbona kinyongeMayele kafunga huko
MpiraUnagombea nini?
Natamani waumbukeee[emoji1787][emoji1787]Makolo fc Bahasha inaelekeza kila mpira kwa Saido [emoji1][emoji1][emoji1]
Njoo uchukue mitanoMpira
HIVI HAYA MAKOLO YANAGOMBEA KITU GANI?UBINGWA AU UPUUZI GANI YANAGOMBEA??Ligi ya NBC premier league msimu wa 2022/2023 leo Ijumaa inafikia tamati. Mnyama akiongozwa na NTIBAZONKIZA anayetikisa dunia kwa sasa watashuka dimbani mnamo saa 3:30 mchana dhidi ya mahasimu wao coastal Union kutoka Tanga
Hakika watakuletea mpira wenye kuvutia wenye kiwango cha kimataifa