FT: NBC PREMIER LEAGUE: Simba SC 3-1 Coastal Union | 09/06/2023

FT: NBC PREMIER LEAGUE: Simba SC 3-1 Coastal Union | 09/06/2023

Makolo fc Bahasha inaelekeza kila mpira kwa Saido 😄😄😄
 
Shifo ana goli ngapi saivi watu wengine warudi shaoline temple tu [emoji81][emoji81]
 
Ligi ya NBC premier league msimu wa 2022/2023 leo Ijumaa inafikia tamati. Mnyama akiongozwa na NTIBAZONKIZA anayetikisa dunia kwa sasa watashuka dimbani mnamo saa 3:30 mchana dhidi ya mahasimu wao coastal Union kutoka Tanga

Hakika watakuletea mpira wenye kuvutia wenye kiwango cha kimataifa
HIVI HAYA MAKOLO YANAGOMBEA KITU GANI?UBINGWA AU UPUUZI GANI YANAGOMBEA??
 
Back
Top Bottom