Kafanyeje bro.Yaani katukanwa nchi nzima
Tuendelee na dua huenda Mayele akapata hat trickAmefanya utoto na upuuzi tu
Na sio ubainadamu kabisa
Mkuu kakosa? Nimeweka over two huyo mzize ajueMzize ni mwehu [emoji3061][emoji3061][emoji3061]
Kolo fcHivi Scars ni Mwananchi au kolo?
Kafanyeje uyo dogo?Mzize atakuwa CHOKO LETI
Lipumbavu, sehemu ya kuassist tu limeweka roho ya koroshoKafanyeje uyo dogo?
Hajui kama tupo vitani , Aache utotoLipumbavu, sehemu ya kuassist tu limeweka roho ya korosho
Ndiyo akina Feisal wanaotaka mshahara mwingi kumbe hakuna lolote uwanjani [emoji57]Lipumbavu, sehemu ya kuassist tu limeweka roho ya korosho
Na mshindi anajulikana hapa
Kijinga tuYule dogo anabebwa
Ngoja tuone.... Maombi yangu kwa SaidooNa mshindi anajulikana hapa
Dogo ana papara sana.Yule dogo anabebwa