Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
MAMADOU DOUMBIA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunakumbuka shuka wakati kumekucha.Bas karia pale jukwaan anajamb hovyo kwa furaha akisikia saidoo anaongoza
Watakatiana hicho kiatuNi dk ya 86 sasa.
We kolo unataman kua mwananchi?karibu tunajua una ham ya furahaUna haki kusema sina timu. Yaani tulikuwa tunaongoza ufungaji magoli kwa tofauti ya 6. Sasa twalingana na wale Simba.
Ninaumia sana.
Mashabiki wa simba tulieni. Mpira bado haujaisha.Mayele amechoka afanyiwe sub, asubuhi aliniambia hajanywa chai
Bado naamini atafunga tu hata kwa penalty ingawa muda umebakia mchacheNi dk ya 86 sasa.
Asante Mungu [emoji120]Goal mayeleeeeeeeeeeee kudadeki
Utopolo msijiangushe kulazimisha penalti maana ndo zenu
Amekosa kosa Mkuu. Sio goli.
Nabi hajui ana fainali na Azam amtoe Mayele!!
Anazingua huyo. Zimeongezwa dk 3. Matokeo bado ni 1-0.