Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
GOLI LA KIPAKipa Atatuponza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Africa nzima hakuna striker kama DUBE.
Ngapi ngapi huko?Wachambuzi uchwara walitegemea tunafungwa leo
Soma ubaoNgapi ngapi huko?
Mkuu niumie kisa mpira? Huwa mnajitoaga akili eti dude na Rashford 🚮Dube anawashenyeta mashujaa ila unaumia wewe
Yupi huyo Manula?Uyu kipa ni Muha nini?
Bora tumemjuaHamna kipa hapo
KafanyajeIla khomein