Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kama sio 6Yanga anashinda 5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama sio 6Yanga anashinda 5
Hakika MkuuKama sio 6
Acheni kufananisha timu kubwa duniani na huo uchafu .Achukue namba ya Rashford kabisa huyu
Wanapenda ndoto na mambo ya kufikirika.Acheni kufananisha timu kubwa duniani na huo uchafu .
Tuache kidogo tuna jambo la kufanya.Ila kweli hii ni mida ya kutafuta watoto, yeye anautumia kupost
Mbona kama unahangaika sanaWanapenda ndoto na mambo ya kufikirika.
Vyura kila kona mkuu, nawakwepa.Mbona kama unahangaika sana
Eti acheze namba ya Rashford , mtu akishaba magimbi ni kuropoka tu pumbavu .Wanapenda ndoto na mambo ya kufikirika.
Hapa unafanya nini sasa kwanini usiende kwa simbilisi wenzakoVyura kila kona mkuu, nawakwepa.
Nawapopoa vyura. Kama wewe ni Chura ni utani wa jadi tu usihemuke.Hapa unafanya nini sasa kwanini usiende kwa simbilisi wenzako
Kuna improvement kwakweli, nadhani lile goli walilopata kule Congo limekuwa na maana kubwa sana kwenye saikolojia ya wachezaji wa Yanga. Imewaridisha Yanga kwenye hali na kujiaminiDuh, wamezirudia sindano nini? Wanacheza vizuri kweli.
Acha tu, Mtani katisha, Dube katupia la tatu.Kuna improvement kwakweli, nadhani lile goli walilopata kule Congo limekuwa na maana kubwa sana kwenye saikolojia ya wachezaji wa Yanga. Imewaridisha Yanga kwenye hali na kujiamini
Chuma kimewaka 😃 Huyu Dube ameanza kuwa 🔥Mods wekeni idadi ya magoli hapo juu.. nataka makolo waisome