FT: NBC Premier League | Yanga SC 3 - 2 Mashujaa FC | KMC Complex | 19.12.2024

Safi sana mashujaa legezeni hivyo hivyo, hatimaye ubora wa yanga umerudi kwahiyo dirisha dogo hakuna haja ya kuboresha kikosi, tutakuja kuanza kutafuta mchawi tena baada ya dirisha dogo kufungwa
 
Mods bado hawajarudi kutoka kwenye mkutano wa Mbowe walipokuwa wameitwa kwenda 'kumvamia' ili akachukue form
 
Ukinipa Rashord na Dube nichague mmoja, namchagua Dube.
 
Safi sana mashujaa legezeni hivyo hivyo, hatimaye ubora wa yanga umerudi kwahiyo dirisha dogo hakuna haja ya kuboresha kikosi, tutakuja kuanza kutafuta mchawi tena baada ya dirisha dogo kufungwa
Endelea kujifariji hivyo hivyo eti walegeze, wewe ndio unaakisi usemi wa Rage
 
Back
Top Bottom