Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Airmanula au?Ila khomein
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Airmanula au?Ila khomein
Poa ahmedUto atapoteza hii mechi, hizo tatu zinarudi na wanapigwa cha 4
lopwinyo mtupuKafanyaje
Ngoja tuone maana 3 - 2 hukoYanga anashinda 5
kijana wa mchungaji suguyeNani kafunga
Mmeanza kutoa milio.Sijui why msheli wanamfanya kipa namba tatu
Rashidi ana kipi cha maana sasa hata huko anakaa banch au ndiyo ulimbukeni wa wabongo?Mkuu niumie kisa mpira? Huwa mnajitoaga akili eti dude na Rashford 🚮
3-2Mmeanza kutoa milio.
mmeanzaaaaHii mechi kuna namna tumefanya ili tuwafurahishe mashabiki wetu na kupunguza kelele
Unafananisha timu za epl na mashujaa sio? OK.Rashidi ana kipi cha maana sasa hata huko anakaa banch au ndiyo ulimbukeni wa wabongo?