FT: NBC Premier League | Yanga SC 3 - 2 Mashujaa FC | KMC Complex | 19.12.2024

Kulikua na zuzu moja lilikua linalia kila siku humu et Boka ni nani alimleta Yanga..Ndio nikajua kumbe kuna mazwaza sana humu jukwaani yani Boka unaweza ku doubt uwezo wake kweli huyu ni beki wa kisasa kabisa unamkuta kwenye maeneo yote kwa wakati yani kipindi cha kushambuliwa utamuona eneo lake na kusaidia kukaba lakini pia timu inaposhambulia utamuona akisaidia mashambulizi.
Jamaa lina control nzuri ya mpira na pia sio rahisi kulipokonya mpira linapiga kross kwa wakati sahihi na jamaa lina utulivu mno kwenye eneo la hatari la mpinzani..
 
Tunashinda 5 alisikika mwana uto mmoja kwenye kilabu cha pombe chafu.
1734605911071.jpg
 
Kulikua na zuzu moja lilikua linalia kila siku humu et Boka ni nani alimleta Yanga..Ndio nikajua kumbe kuna mazwaza sana humu jukwaani yani Boka unaweza ku doubt uwezo wake kweli huyu ni beki wa kisasa kabisa unamkuta kwenye maeneo yote kwa wakati yani kipindi cha kushambuliwa utamuona eneo lake na kusaidia kukaba lakini pia timu inaposhambulia utamuona akisaidia mashambulizi.
Jamaa lina control nzuri ya mpira na pia sio rahisi kulipokonya mpira linapiga kross kwa wakati sahihi na jamaa lina utulivu mno kwenye eneo la hatari la mpinzani..
tumecheza na mashujaaa jomba, gazeti la nini?
 
Back
Top Bottom