FT: NBC Premier League | Yanga SC 3 - 2 Mashujaa FC | KMC Complex | 19.12.2024

Khomeiny ni kipa mzuri sana. Tufurahie matokeo ya kazi nzuri na Rais wetu mpendwa wa club na timu yake ya mascouts mahiri.
 
Sikutazama mpira huu kwa sababu ya kuogopa mshituko wa moyo kwa vile Yanga imekuwa inajikongoja sana, na hawa wanajeshi huwa hawana masihara. Ni afadhali yanga wamejitahidi
 
Kipa alifanya uzembe kidogo walikuwa wanakula 3-0
 
Back
Top Bottom